#BadoKidogo ya @iambenpol imetoka Wakati Sahihi kabisa wa Njanuary Ngoma Ina encourage Usife moyo Ktk MWEZI huu mgumu ambao unahitaji kulipa Bills Nyingi, unataka kuanzisha biashara mupya, unaowadai hawalipi unatakiwa kulipa Kodi MWEZI huu Au Kwa mfano mm Natakiwa kulipa kodi hivi Karibuni Lakini ka wimbo kamenipa moyo basi najiona kama namiliki Jumba La Kiba Tabata 🏣 Au mjumba wa Chibu sauzi mambo ni hiviiii 🔥






