CPWAA KUANZA KUGAWANA NA MAPRODUCERS.
CPWAA KUANZA KUGAWANA NA MAPRODUCERS.
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Ilunga Khalifa a.k.a CPwaa kuanza rasmi utaratibu wa kugawana mirabaa na watengenezaji na wasimamizi wa kazi zake za sanaa.
Maamuzi haya yamekuja chini ya mkataba mpya ambao CPwaa ameingia na “Record label” yake ya “Brainstormusic” ambayo itazinduliwa rasmi siku za usoni. Maamuzi haya ni magumu kwa wasanii wengi lakini kwa wale wafuatiliaji na wadau wa muziki…
View On WordPress










