CHIKONKWO : SULUHHISO LA UPUNGGU WA NGUVU ZA KIUME
Hivi karibuni Wanaume hasa vijana wengi wamekuwa wakilalamika kusumbuliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume, tatizo ambalo kwa wengine limesababisha mahusiano yao kulega ama kuvunjika kabisa. Akizungumza na blogu ya ASILI ZETU hivi karibuni, Mkuu wa kituo cha tiba za asili na Mitishamba cha Pwani Sanitarium Clinic ‘Dokta Sulemain Bin Mzee’ alisema dawa Chikonkwo hurejesha heshima ya ndoa…
View On WordPress










