JINI WATOTO : KIUMBE HATARI ZAIDI
JINI WATOTO : KIUMBE HATARI ZAIDI
Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa wanaokuja kwa njia ya kujifanya ni watoto.
Zipo dalili za wazi ambazo hujionyesha pindi jini huyu anapokuwa ameingia katika mwili wa mwanadamu. Dalili zenyewe ni kama vile zifuatazo :
(1). Kulia sana hasa…
View On WordPress








