Damu Nyepesi
Blood is slender Asubuhi kunapambazuka, ndege wanatoa sauti nyembamba za kufurahisha, jogoo wanawika huku upepo wa asubuhi unapuliza. Mionzi ya jua inapiga usawa wa dirisha. Sophy anafumbua macho taratibu akitazama dirishani akirudisha fahamu kabla ya kuamka. Anageuza shingo yake akimtazama Khalid ambaye amelala pembeni akimkumbatia tumboni mwake, anaitazama pete iliyopo kidoleni mwake…
View On WordPress











