TAZAMA MUONEKANO MPYA WA JUSTIN BIEBER
TAZAMA MUONEKANO MPYA WA JUSTIN BIEBER
Supastaa daraja la kwanza asiyehishiwa vituko kila kukicha, Justin Biber, amewa-suprise mashabiki wake kwa kutokelezea na mtindo mpya wa nywele. Justin Bieber akiwa kwenye muonekano mpya wa Dreadrocks Muimbaji huyo Raia wa Canada aliwashangaza mashabiki wake wakati alipokuwa aki-perform kwenye sherehe za utoaji Tuzo za iHeartRadio akiwa amesokota nywele zake(Dreadrocks) na kumfanya kuwa kivutio…
View On WordPress








