‼️🎻🥁Tumebakiwa na siku kadhaa tu ili tuweze kuzindua Mzigo mpya wa MKEKA WA MBAO.📢📢 ✍🏻👉Kwa Mdau wetu wa zamani kama umeshawahi kununua Mkeka wa Mbao 🪵✅ ✍️🪗Kwa mzigo huu mpya utanunua Mkeka wa Mbao kwa 50% percent Discount.Yaani tunasema nusu bei. 🖤🪘Tunafanya hivi kwa sababu mmekuwa sehemu kubwa ya Mzigo wa zamani kumalizika kwa wakati🙏🏽👑 Discount hii ni ya Wiki mbili tu inaanza Jumanne ya MARCH 1.2022. ✅Hii haijawahi tokea nchi nzima ni kubwa kuliko. Mikeka ipo mingi tena yenye Maua mazuri na Design za kipekee. Vigezo na mashariti kuzingatiwa. Bila kusahau popote ulipo tunakufikia kwa ajili ya kukukuboreshea Nyumba yako.🏍️🛺🚛🛥️🛣️ Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi ☎️☎️ 0747753566(MbeziBeach, Jogoo HQ) MADALE BRANCH, wasiliana nasi kwa namba hii ☎️☎️ 0735282811 @classic_finishesbranch #ubunifu#mkekawambao#flooryakisasa#ujenzi #nyumba (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CaesNLbtKoX/?utm_medium=tumblr













