#UmbeaHeist Kuna Vitu Vingi vya Kujifunza Kupitia Mheshimiwa Mbunge Wa Muheza @MwanaFa 2020 Japo bado Mwaka kuisha lakini Ni Mwaka Ambao amepitia Vingi Kwa vile tunavyo vi Fahamu na ameweza Kuvishinda Mambo ya Covid yalipoikumba Dunia Kwa Bahati mbaya na Yeye ni miongoni mwa Wana Dunia walioipata na alipambana Hadi Quarantine Akapona na Kushinda Inafahamika Wazi kabisa Msanii kutoa Wimbo Hadi ukahit wenyewe bila ku force nayo huwa Ushindi Mkubwa unaotakana na Ubunifu na maandalizi 2020 Fa aliachia Smash Hit ya #Gwiji ft @MauaSama na @nyoshi_el_saadat_official Ngoma imepenya na kuvuka mipaka Kila Mpenzi Wa Bongoflava anaifahamu Ngoma hii Duniani 2020 F.A akatangaza Nia Ya Kugombea Ubunge Jimbo la Muheza Chama Cha Mapinduzi kikampitisha Akasimama Kwenye Uchaguzi Mkuu Akashinda Kwa Kura Nyingi Leo Hii anawawakilisha Wana Muheza Bungeni Bado Biashara zake binafc 2020 ule Mjumba wake Wa Mbweni pia ndio ulimalizika Ujenzi 🙈 Kuna Funzo Kwenye Kila maisha ya Mwanadamu Ila Kwa F.A kuna Funzo Kubwa 2021 insha'Allah Nitafanya Vitu Vingi vya kimajukumu na Ndoto zangu na nita Shinda Kama Yeye @MwanaFa ni Genius anaeweza ku MultiTask Kwenye Vitu vikubwa na Vyote anavimudu Vizuri Tu. Leo Yupo ndani ya #XXLYACLOUDSFM #CLOUDSX21 . . . . . . Nikisema Nimesema Na Sifuti https://www.instagram.com/p/CISnbz5hz8T/?igshid=m2c1951cv1pj


















