Nimeshtuka Kutoka Usingizini Baada Ya Kuota Kuwa Dada Yetu Sepenga @wemasepetu amejifungua watoto watatu Mapacha (Triplets) Kwenye Ndoto hiyo Anaonekana Baba Wa mtoto huyo ni Mwanaume Mmoja Mrefu Mweusi lakini si sana, sura yake kama inakuja inakataa lakini Sura iko familiar (Kama Nishawahi kumwona Sehemu) Katika Ndoto hii Wawili hao na watoto wao wanaonekana wakiwa na ulinzi mkali, Acha Niikumbuke vizuri hii ndoto, lakini nahisi kuna uhalisia wa tukio hili hivi karibuni, Inshaallah Happy Birthday @wemasepetu nakuombea Kheri Dada 🙏 #SoudyBrown #SoudyBrownOnline #NikisemaNimesemaNaSifuti https://www.instagram.com/p/CUYPnEusVIj/?utm_medium=tumblr