Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !
Primus League: Flambeau Du Centre bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi. Inter Star yaelekea pabaya !
Timu ya Flambeau Du Centre ambayo ilimaliza ikiwa na fasi ya kwanza katika wiki ya 26 ya michuano ya ligi kuu Burundi, bado inaendelea kushikilia uwongozi wa ligi baada ya kuishinda timu ya Vital’O FC bao (2-1) katika mchezo ulio chezwa hii ijumaa katika uwanja wa Urumuri mkoani Ruyigi. Inter Star yao inaelekea kushuka daraja la pili baada ya kushindwa na timu ya Athletico Academy mabao …
View On WordPress