BASHUNGWA:FUATILIENI MALALAMIKO YA POSHO ZA KUJIKIMU KWA WAAJIRIWA WAPYA
Kwa habari za Elimu, Ualimu na Walimu fuatilia ukurasa huu ili ujifunze mambo mbalimbali pia tembelea ukurasa wetu wa Youtube (www.youtube.com/jiandae) kwa Mafundisho ya Kukujengea ufundishaji bora. WhatsApp?: 0674141209.
Kutoka: OR –TAMISEMI (Facebook Page) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anafuatilia malalamiko ya waajiriwa wapya 9,800 kuhusu posho za kujikimu na viwango vya malipo vinavyotolewa. Ametoa maagizo hayo Septemba 28, 2022…
View On WordPress













