Simba wamefanya ukatili wa soka
Simba wamefanya ukatili wa soka
MICHUANO ya CECAFA inaendelea katika viwanja mbalimbali jijini Dar es salaam na kuzishirikisha timu nane zilizoko kwenye makundi mawili. Mashindano hayo yameibuka dakika za lala salama kabla ya pazia la msimu mpya kufunguliwa ifikapo Septemba 25 kwa mechi ya ngao ya jamii kati ya Simba na Yanga. Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Simba hivi karibuni walitangaza kujitoa kushiriki mashindano ya…
View On WordPress







