KUNA WACHEZAJI WANA MAJERAHA-GAMONDI
Leo kocha mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi alikuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya watani na wapinzani wao wakubwa Simba SC. Tanzania Sports ilikuwa moja ya vyombo vya habari vilivyofika katika mkutano huo na kwenye mkutano huo Miguel Gamondi alionesha kufurahia kurudi kwa ligi kuu. Miguel Gamondi alidai kuwa ni jambo zuri tumerudi kwenye michezo…










