USIPANGE KUKOSA KUHUDHURIA LEO SHULE YA HUDUMA NA WAALIKE WENGINE Matokeo ya Shule ya Huduma ni baraka kubwa ajabu kwa waliohudhuria. Na siku ya mwisho leo baada mafundisho ni maaombi kwa watumishi wa Mungu kupakwa mafuta mabichi ya Roho Mtakatifu kwa kazi ile kuu waliotiwa ya MATHAYO 28:19-20. Watumishi wa Mungu wanaofundisha ni Bishop Zachary #Kakobe, Ev. Jeremiah #Lugwisha, Bishop Bruno #Mwakibolwa, Bishop #Obaja kutoka Indonesia Na Senior pastor Dr #Anny Fernandes na mtume Dk. Vernon Fernandes. Kongamano mwisho Jumamosi tarehe 02-02-2019. Karibuni wote katika Shule ya Huduma kwa Watumishi, Viongozi na wote wanaopenda kutumikia Mungu π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ Njoo jifunze jinsi ya kukuza Huduma yako, jinsi ya kutawala maisha yako na fedha zako kupitia Watumishi wa Mungu mbali mbali. Hakuna kiingilio. Na vyeti zitatolewa. ππππππ Ni katika viwanja vya AGAPE LIFE CHURCH. Mbezi Beach, Jogoo nyuma ya cotex Mawasiliano ya simu +255658387013 au 0658307029. Pia ATN channel wako hewani mubashara kupitia vingamuzi vinarusha kipindi ! https://www.instagram.com/kongwastone/p/BtXPzlxF904/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=lou4q039rrzi













