"SIRI ZA FLORA MBASHA" ni kitabu kinachoelezea maisha halisi aliyoishi @Flora_madam wakati akijulikana kama "Flora Mbasha" Majibu yote ya maswali yako yamo ndani ya kitabu cha "SIRI ZA FLORA MBASHA" Kitabu kimeandikwa na mwanasheria aliyebobea katika maswala ya kijamii Amani Mwaipaja @Mwapaja1 Na pia kinaelezea kwa kina Unyanyasaji kwa kijinsia na Matatizo yaliyomo kwenye ndoa nyingi na wahusika kushindwa kufanya maamuzi sahihi na hivyo kupelekea hata vifo vya kabla ya wakati na kuacha majonzi kwa familia inayomtegemea Pata nakala yako sasa, kitabu kinapatikana Kwa Dar es Salaam Sinza madukani @ebenezer_collection 0673094095 #KiboComplex Tegeta, TSN Super market na PCAM OFFICE SUPPLY #KiboComplex 0687252435 Kwa mawasiliano zaidi piga 0758105014 Tutaendelea kuwatangazia vituo vingine vitakapokuwa vinapatikana vitabu











