#TRT: Watu 31 wakamatwa kufautia ghasia zilizotokea Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Watuhumiwa 31 wa ugaidi wakamatwa baada ya ghasia Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Watu 31 wamekamatwa mjini Kinshasa wakituhumiwa kuhusika na ghasia zilizopelekea watu 14 kufariki.











