#DW: Polisi ya Kenya yadaiwa kuwabaka watu katika ghasia za baada ya uchaguzi 2017
[ad_1]
Ripoti hiyo iliyo na kurasa 31 iliyopewa jina”Walikuwa wanaume waliyovalia sare ya kijeshi, Unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanawake na wasichana, katika uchaguzi wa Kenya mwaka 2017″ inaangazia visa vibaya vya udhalilishaji wa kimwili, kiakili, kijamii na kiuchumi pamoja na uvunjifu mkubwa wa haki za binaadamu uliyofanyika wakati wa uchaguzi wa hivi karibuni.
Shirika hilo limegundua kuwa…
View On WordPress















