Bondia Kidunda hoi Madola
Bondia Kidunda hoi Madola
Bondia aliyekuwa tegemeo kwa Tanzania katika michuano ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Glasgow, Uskochi, Selemani Kidunda amepigwa.
Kidunda ambaye ndiye nahodha wa Timu ya Madola ya Tanzania alipoteza pambano lake dhidi ya Mnigeria Kehinde Ademuyiwa kwa pointi katika pambano la uzito wa kilo 69.
Hata hivyo, Kidunda alijitahidi na kupoteza kwa uchache wa pointi, kwani alinyakua 28 dhidi ya 29 za…
View On WordPress













