Ozark Celtic Octave Mandolin

seen from Maldives
seen from Taiwan
seen from China
seen from China
seen from Yemen
seen from China
seen from Colombia

seen from United Kingdom

seen from Germany
seen from Singapore
seen from China

seen from United States

seen from Australia
seen from Grenada

seen from United Kingdom
seen from China
seen from South Africa
seen from South Korea
seen from France

seen from United States
Ozark Celtic Octave Mandolin
HOW COME I NEVER REALISED THIS?
So, medieval tavern music is my favorite kind of music, and I just realised that’s exactly the kind of music Will plays on his mandola! ASDFKLHDLK
Here are some examples (I think I’m falling in love with Will again)
https://youtu.be/fgkabydSIOI
Elections législatives 2018 au Gabon : porte à porte à l’américaine d’Abéké Noé Madola, déterminé à renverser la vapeur au 4ème arrondissement de Libreville !
Le samedi dernier au quartier pleine Niger, dans le 4ème arrondissement de la commune de Libreville, a poursuivi le porte à porte qu’il a entamé depuis déjà près de deux mois. Avec pour but de toucher la sensibilité et solliciter l’appui des riverains au cœur des quartiers du littorale pour les futures échéances électorales.
Ainsi, entourer des membres de son équipe, il n’a pas manqué d’apporter…
View On WordPress
Michezo ya Madola yamalizika
Michezo ya Madola yamalizika
*England waongoza, Kenya nao watamba *Mataifa madogo kabisa yaizidi Tanzania
Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyomalizika jijini Glasgow, Uskochi imemalizika kwa England kuibuka kidedea, wakizoa jumla ya medali 174, wakifuatiwa an Australia na Canada.
Baada ya siku 11 zilizokutanisha wanamichezo mbalimbali kwenye michezo tofau 17, pazia lilishushwa Hampden Park huku wenyeji wakishika nafasi ya nne,…
View On WordPress
Bondia Kidunda hoi Madola
Bondia Kidunda hoi Madola
Bondia aliyekuwa tegemeo kwa Tanzania katika michuano ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Glasgow, Uskochi, Selemani Kidunda amepigwa.
Kidunda ambaye ndiye nahodha wa Timu ya Madola ya Tanzania alipoteza pambano lake dhidi ya Mnigeria Kehinde Ademuyiwa kwa pointi katika pambano la uzito wa kilo 69.
Hata hivyo, Kidunda alijitahidi na kupoteza kwa uchache wa pointi, kwani alinyakua 28 dhidi ya 29 za…
View On WordPress
Mo Farah ajitoa Madola
Mo Farah ajitoa Madola
Mwanariadha mashuhuri wa Uingereza mwenye asili ya Somalia, Mo Farah amejitoa kwenye michuano ya Jumuiya ya Madola inayofanyika Glasgow, Scotland.
Farah alikuwa akimbie katika mbio za meta 5,000 na 10,000 lakini amekwama baada ya kuugua, ambapo amesema mwili wake haupo fiti kwa kazi hiyo.
Kujiondoa kwa Farah ambaye kwenye michezo ya Olimpiki iliyofanyika England alitwaa medali mbili za dhahabu ni…
View On WordPress
MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA YAMEPOTEZA MVUTO
MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA YAMEPOTEZA MVUTO
Si kitu rahisi kutokea tangu yalipoanzishwa mashindano hayo. Lakini kwa sasa nakiri kuwa mashindano ya Jumuiya ya Madola yameshuka thamani kubwa kuliko awali. Ingawa kila mmoja ana mtazamo wake, lakini nina ushahidi mkubwa mno.
Kwanza nilianza kuona kwenye mashindano ya Diamond League ya England ambapo wanariadha wakiongozwa na Usain Bolt walikataa kushiriki ikiwa ni siku chache kabla ya…
View On WordPress
Pazia lafunguliwa Madola
Michuano ya 20 Jumuiya ya Madola inaanza Jumatano hii jijini Glasgow, Scotland ikishirikisha timu za mataifa 71. Jumla ya wachezaji 4,947 wanashiriki katika michezo 17 tofauti itakayoendelea hadi kilele chake Agosti 3 mwaka huu na uwanja mkuu kwa mashindano haya ni Celtic Park inamozinduliwa wakati itaungwa Hampden Park.
Haya ndiyo mashindano makiubwa zaidi kufanyika nchini Scotland…
View On WordPress