#VOA. | Jamii ya watu wafupi na mashirika yasio ya kiserikali yashinikiza serikali kuwatambua
#VOA. | Jamii ya watu wafupi na mashirika yasio ya kiserikali yashinikiza serikali kuwatambua
Ulimwengu ukiadhimisha siku ya watu wenye vimo vifupi, jamii ya watu hao pamoja na mashirika yasio ya kiserikali yanashinikiza serikali kuwatambua na kuwajumuisha katika nafasi za watu wanaoishi na ulemavu, kama njia ya kukabiliana na unyanyapaa miongoni mwao. Watu wa vimo vifupi bado wanapitia unyanyapaa na kutengwa katika jamii. Kenya ina zaidi ya watu 3000 wenye vimo vifupi, huku madaktari…
View On WordPress