We have a treat for you today. Right after we finished recording the final mission (but before the finale recording) kris made this incredible relationship map of a whole bunch of the characters. Transcription of all the relationships below the cut.
Yvan, born of Umber and Shoogt with no relationships
Jemma <- "Jemma + Penthos 5EVER" -> Penthos
Jemma -> "Who gets to be alive?" -> Walloot
Serikali -> "Unionize" -> Nabain
Serikali -> "Unionize" -> Kayo
Serikali -> "Unionize" -> Aoife
ERMS ni mfumo shirikishi wa kusimamia Shughuli na Rasilimali za Taasisi wenye moduli 20 zinazowasiliana na Kuunganisha Shughuli za Idara na Vitengo ndani na kati ya Taasisi.Tazama moduli hizo zinavyofanya kazi.
Serikali haitumii moyo kufanya maamuzi yake. Inatumia akili. - “Serikali haina roho!” –Enock Maregesi - Ukiona serikali inafanya jambo la ajabu, kama vile kubomoa nyumba za watu na za kwake yenyewe, huku watu wakilalamika lakini yenyewe hailalamiki, ujue haitumii moyo, inatumia akili. Inafanya hivyo kwa faida ya baadaye ya nchi. Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #serikali #government https://www.instagram.com/p/B7FtoWwnWji/?igshid=z8d6bjz7usq4
Ukiichukia serikali yako umeichukia nafsi yako. Kwa sababu serikali ndiyo inayoongoza nchi, na nchi ni mwili mmoja. #serikali #government #nafsi #soul #nchi #country #mwili #body https://www.instagram.com/p/Bxbfls7hDat/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1bfx78xwn2v3s
Kuna watu ambao kwa nyakati zote huwa ni kukosoa serikali tu! Hawaoni zuri hata moja kwa kila awamu toka Awamu ya Kwanza hadi leo hii Awamu ya Tano. Hawajawahi kuona zuri, iwe ni kwenye hatua yoyote ya maendeleo au kwa hicho kinachoitwa demokrasia. Na baadhi yao wana elimu nzuri ya kuweza kugombea ngazi yoyote ya kisiasa hata urais. Lakini cha ajabu ni kwamba kinapofika kipindi cha uchaguzi hawachukui fomu ya kugombea nafasi yoyote hata udiwani. Wanangoja kukosoa tu! Je, watu wa aina hii tuwaeleweje? Kweli wana nia njema na taifa letu? #serikali #government #siasa #politics https://www.instagram.com/p/BwRlAAZHTeu/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=14c2titoibvy9
Serikali hupenda watu iliyoridhika nao. Mridhishe bosi wako! Kama huna bosi, iridhishe serikali yako. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #serikali #government https://www.instagram.com/p/BwByYqDnnPQ/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1dwdhy2ulwtcu
Serikali haiwezi kutawala mioyo ya watu, kwa sababu haiwezi kukidhi kila haja ya kila raia. Lakini mbona inatawala? Si kweli! Serikali itakapotawala mioyo ya watu haitakuwapo, kwa sababu moyo una sifa ya kukata tamaa na kujitenga. #serikali #government #mioyo #hearts #raia #citizens https://www.instagram.com/p/BvycwOIHls-/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=x6pyt7i7pehh