SIWEZI KUVAA JEZI YA SIMBA-MAYELE
Jana kwenye mechi ya Yanga SC na KMC FC iliyochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi kulikuwepo na ugeni kutoka Congo ambapo mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Fiston Mayele alikuwa moja ya watu walioitazama ile mechi. Baada ya mechi, Fiston Mayele ambaye aliwahi kuwa mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2002/20023 alipata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari…














