Wewe Ni Zaidi by Erick Smith (Official Video) Worship Song
Wewe Ni Zaidi by Erick Smith (Official Video) Worship Song
Mi nashangaa nikielewa
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu Yako
Tena sauti Yako, Baba yanizidia,
Sauti zote ninazosikia X2
Chorus:
Yale umetenda Baba, yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upendo
Yale unasema Baba yote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo X2
Nimejipata ndani ya upendo wako,
Umekua kwangu mapumziko
Neema yako yanitosha,
Nikiwa nawe mimi niko huru. X2
Chorus:
Wewe ni Mungu mkuu,
View On WordPress














