#VOA. | Serikali ya mseto ya Sudan Kusini kuanzisha mahakama ya mseto ya AU
#VOA. | Serikali ya mseto ya Sudan Kusini kuanzisha mahakama ya mseto ya AU
Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, anasema anakaribisha uamuzi wa serikali ya mpito ya umoja wa Kitaifa ya Sudan Kusini wa kuanzisha mahakama ya mseto ya AU kwa nchi hiyo Kama ilivyotakiwa kwenye makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwaka 2018. Huku kukiwa na ripoti za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu baada ya mzozo kuzuka mwaka 2013 nchini Sudan Kusini, Umoja wa…
View On WordPress








