#DW: Syria yakubali kuhamishwa kwa wanamgambo wa IS | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Syria yakubali kuhamishwa kwa wanamgambo wa IS | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
“Baada ya mafanikio ya majeshi yetu na kundi la Hizbollah yaliyopatikana magharibi mwa Qalamoun , makubaliano yaliyofikiwa kati ya Hezbollah na kundi la kigaidi la Daesh yameidhinishwa,” televisheni ya Syria imesema, ikinukuu chanzo kutoka jeshini.
Bado haifahamiki iwapo makubaliano hayo yanajumuisha wanamgambo wa IS ambao wako katika upande wa Syria…
View On WordPress










