#TRT: Uturuki ni mfano wa kuigwa kwa niaba ya Somalia Uturuki ni mfano wa kuingwa kutokana na kujitolea kwake kwa kutoa misaada nchini Somalia Waziri wa Somalia anaehusika na misaada ya kiutu katika matukio ya dharura Meryem Qassim Ahmad amesema kuwa Uturuki ni mfano wa kuigwa kutokana na harakati zake za kutoa msaada kwa niaba ya Somalia.







