Papa asikitishwa uamuzi wa kanisa kugeuzwa kuwa msikiti
Papa asikitishwa uamuzi wa kanisa kugeuzwa kuwa msikiti
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Fransic amesema kuwa amesikitishwa na uamuzi uliochukuliwa na Uturuku kugeuza hekalu la Hagia Sophia lililopo mjini Instabul kuwa msikiti.
Akizungumza katika ibada moja makao makuu Vatcan kiongozi huyo aliongeza kuwa “mawazo yake yapo kwa watu wa Instabul”.
Hekalu la Hagia lilijengwa miaka 1500 iliyopita kwa ajili ya kutumiwa katika…
View On WordPress












