#DW: Mashirika ya haki za binaadamu yataka UN kuiwekea vikwazo Myanmar | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Mashirika ya haki za binaadamu yataka UN kuiwekea vikwazo Myanmar | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Wito huo kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binaadamu umetolewa huku Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa likijitayarisha kukutana mjini New York, Marekani, na mgogoro wa Mnyanmar ukiwa moja ya masuala muhimu yatakayojadiliwa.
Kutimuliwa kwa Waislamu wa jamii ya wachache ya Rohingya na kulazimika kukimbilia nchi jirani ya Bangladesh kumesababisha wito wa msaada wa dharura. Mashirika ya…
View On WordPress