Jinsi ya kutongoza
Siri kubwa ya kutongoza ni kuzingatia anachohitaji unayetaka kumtongoza na kuchukua hatua kwa kujiamini. Kama unataka kumtongoza mtu, tenga muda wako wa kumchunguza ili umjue vizuri, tengeneza mazingira na kisha hamia kwenye hatua ya vitendo. Hizo ndiyo hatua sahihi za jinsi ya kutongoza.
Kwa nini ni muhimu kujifunza jinsi ya kutongoza?
Watuwengi hufanya makosa makubwa ambayo huwaghalimu katika…
View On WordPress











