#DW: Wakimbizi wajazana kuvuka mpaka kati ya Uigiriki na Uturuki
#DW: Wakimbizi wajazana kuvuka mpaka kati ya Uigiriki na Uturuki
[ad_1]
Kifo cha mtoto huyo kilichoripotiwa na walinzi wa baharini ni cha kwanza baada ya wahamiaji wapatao 13,000, wakiwemo raia kutoka Syria, Afghanistan na Iraq kuanza kulundikana kwenye mpaka kati ya Uturuki na Ugiriki mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kutangaza hatua ya kulegeza vizuizi kwa wakimbizi waliokuwa wanataka kuvuka mpaka na kuingia katika…
View On WordPress












