Harmonize aachia video 3 leo bofya kuzitazama, albamu ya 'Afro East' yazidi kung'ara
Harmonize aachia video 3 leo bofya kuzitazama, albamu ya ‘Afro East’ yazidi kung’ara
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rajab Abdul almaarufu kama Harmonize hivi karibuni ameachia video mpya za nyimbo zake kutoka katika albamu ya Afro East ambayo imekuwa ikifanya vizuri sokoni tangu kuzinduliwa kwake
Hapo jana Msanii huyo aliandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa ataachia video tatu za nyimbo zake , ambapo mpaka sasa hivi tayari ameshaachia video mbili.
Miongoni mwa…
View On WordPress















