HEMEDY PHD - Lawama Lyrics
HEMEDY PHD – Lawama Lyrics
HEMEDY PHD – Lawama Lyrics HEMEDY PHD – Lawama Lyrics. (Gerry on the beatz) Haa haiya, haa haiya Haa haiya…. Ulisepa mara ya kwanza Nikakwambia rudi home Ukataka sepa tena Nikasema tulia home wewe mmh Ukasepa mara ya pili Ukazidi niumiza roho Nikapiga goti pako Mama nakuomba urudi Hautaki, haunitaki tenaa Haujui kama naumia moyoni Haujui kama unaniumiza moyoni Anauliza mama yuko wapi…
View On WordPress













