#Pilkapilka Vijana ndio uti wa mgongo wa kila jamii. Hii imekuwa bayana huku kwetu kwani wamekuwa ni wajasiriamali na wenye kupeleka mbele uchumi. Tupatane kwa Alhamdi Choma Base opposite @ChronoShop (Kwa Fakhru) Oginga Odinga street karibu Huzefa Centre kwa mishkaki (Mishakiki) ya kudondoa mate #Malindi #peopleofmalindi #LeHustle malindians.com (at Malindi, Kenya)









