MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AFANYA KAMPENI MUSOMA
MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AFANYA KAMPENI MUSOMA
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la…
View On WordPress












