#VOA. | Maisha ya kisiasa ya Maalim Seif Shariff Hamad kiongozi wa upinzani Zanzibar
#VOA. | Maisha ya kisiasa ya Maalim Seif Shariff Hamad kiongozi wa upinzani Zanzibar
Seif Sharif ni mmoja kati ya viongozi wachache wa Afrika waloishi maisha ya kawaida bila ya kupenda makubwa. Ni kiongozi aliyependwa sana na wananchi kwa ustahmilivu wake na kutaka umoja wa wa-Zanzibari. Na anakua pia kiongozi wa upinzani aliyegombania kiti cha rais kwa miaka mingi bila ya kushinda. Onyesha zaidi Show less Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
View On WordPress










