Bila upinzani nchi haiwezi kutawalika! Ukiua upinzani unaua taifa. #upinzani #opposition #nchi #country #taifa #nation https://www.instagram.com/p/BxZx3m2h1jV/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=2bsxolrhdbju

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from China

seen from Türkiye
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from Türkiye
seen from Russia
seen from United States

seen from Australia
Bila upinzani nchi haiwezi kutawalika! Ukiua upinzani unaua taifa. #upinzani #opposition #nchi #country #taifa #nation https://www.instagram.com/p/BxZx3m2h1jV/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=2bsxolrhdbju
Bila upinzani nchi haiwezi kutawalika! Ukiua upinzani unaua taifa. #upinzani #opposition #nchi #country #taifa #nation https://www.instagram.com/p/BxZsj0rBG_k/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=iv56imr8de9x
Bila upinzani wa kweli nchi haiwezi kutawalika, ijapokuwa inaweza kutawaliwa bila upinzani wa kweli. Kutawalika ni kukubali kutawaliwa; kutawaliwa ni kukubali kutawalika. Bila upinzani wa kweli hakuna uzalendo wa kweli; bila uzalendo wa kweli hakuna upinzani wa kweli. Kuwa mpinzani wa kweli wa serikali, kwa kuwa mzalendo wa kweli wa nchi yako; itetee nchi yako kutoka moyoni, katika masuala ya msingi ya katiba ya nchi. Upinzani ni changamoto; na bila changamoto nchi haiwezi kutawalika, ijapokuwa inaweza kutawaliwa kidikteta. Kama nilivyosema hapo awali, kuna tofauti kati ya kutawaliwa na kutawalika. Kutawalika ni kukubali kutawaliwa; na kutawaliwa ni kukubali kutawalika. Serikali ya kidikteta ni serikali inayotawala nchi iliyoshindikana kutawalika; na nchi iliyoshindikana kutawalika ni nchi yenye upinzani wa kweli dhidi ya serikali isiyokubalika kwa wengi. Changamoto hata katika kipindi cha Awamu ya Kwanza cha utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilikuwapo. Yaani, kwa muktadha wa nukuu hii, upinzani ulikuwapo; ndiyo maana nchi ilitawalika, na ndiyo maana mifarakano ya hapa na pale haikuisha. Kwa hiyo, changamoto ni muhimu katika ustawi au uendeshaji wa nchi yoyote. Mifarakano katika nchi husababishwa na upinzani wa kweli wa ndani au nje ya nchi dhidi ya serikali isiyokubalika. Vivyo hivyo, kutengana katika nchi husababishwa na upinzani wa kweli wa ndani au nje ya nchi dhidi ya serikali isiyokubalika. Bila upinzani wa kweli hakuna nchi itakayotawalika kikatiba, ijapokuwa kuna nchi zinazoweza kutawaliwa kidikteta bila upinzani wa kweli. Mtu anaweza kuuliza, “Mbona nchi za kidikteta zinatawalika pasi na upinzani wowote?” Hapana! Nchi za kidikteta hazitawaliki; bali zinatawaliwa, kidikteta, kwa sababu ya upinzani wa kweli wa ndani au nje ya nchi husika. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2480580955299051&id=100000415120038 #upinzani #opposition #changamoto #challenges #udikteta #dictatorship #uzalendo #patriotism https://www.instagram.com/p/BxYWhZShMoO/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1vm1ud3i72gvn
#TRT: Viongozi wanne wa upinzani wakamatwa Sudan Viongozi wa upinzani wa Sudan wamekamtwa siku ya Jumatano baada ya kuonyesha mshikamano na wanafuzi wa chuo kutoka Darfur.
UPINZANI UNAOINUKA DHIDI YAKO
UPINZANI UNAOINUKA DHIDI YAKO
I) Pengine ni adui na Ufalme wake wanataka kuzuia MLANGO MKUBWA NA WA KUFAA ULIOFUNGULIWA (1Wakorintho 16:9). ii) Pengine ni mpango wa Mungu KUKUEPUSHA NA MABAYA YALIYOKUSUDIWA MBELE YAKO (Hesabu 22:21-33). iii) Pengine ni matokeo ya UJINGA KUKOSA MAARIFA (Ayubu 36:11-12, Hosea 4:6). iv) Pengine Mungu ANAUJARIBU MOYO WAKO ili aone kama utabaki mwaminifu na muadilifu akikupa baraka na mafanikio…
View On WordPress