MADHARA YA KUOMBEA WATU KWA KUTUMIA MAFUTA YA UPAKO, CHUMVI YA UPAKO, VITAMBAA, SABUNI, DAWA YA MBU, NJOKA NK.
MADHARA YA KUOMBEA WATU KWA KUTUMIA MAFUTA YA UPAKO, CHUMVI YA UPAKO, VITAMBAA, SABUNI, DAWA YA MBU, NJOKA NK.
Madhara kwa Waombewaji:
1. Imani ya Waombewaji inahama kutoka kwa Yesu na Kuelekea kwa vitu hivyo.
2. Vinywa vya waombewaji vinataja vitambaa, mafuta zaidi kuliko Jina la Yesu.
3. Waombewaji wanakuwa kama washirikina fulani hivi (mshirikina ni mtu anayekwenda kwa waganga wa kienyeji, hata kama yeye sio mganga) nyumba zao zimejaa vichupa vya mafuta, chumvi za upako, vitambaa vya upako, yaani hivi…
View On WordPress