MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 09]
MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 09]
UPAKO WA KUWA
(ANOINTING TO BECOME).
UTANGULIZI
Kwenye maisha haya, hatukuja kubahatisha maisha, wala kufanya pata potea!
Mungu ametuumba TUWE MAALUM katika maeneo fulani kwa ajili ya kutusaidia KUTIMIZA KUSUDI LA KUUMBWA KWETU!
Na katika maisha haya wapo watu wengi sana ambao wanaishi maisha yasiyokuwa yao, na kwa sababu hiyo hawana matokeo au hawawezi kuacha alama kwa dunia yao maana MUNGU…
View On WordPress












