NINI MAANA YA MWANAMICHEZO AU MWANASOKA ALIYEKAMILIKA?
NINI MAANA YA MWANAMICHEZO AU MWANASOKA ALIYEKAMILIKA?
Wiki chache zilizopita Tanzania Sports iliwatangazia habari za kifo cha mwanasoka maarufu wa Brazil, Carlos Alberto aliyepata mstuko wa moyo akiwa na miaka 72. Carlos Alberto alikuwa nahodha wa timu maarufu iliyotwaa kombe la dunia Mexico City mwaka 1970. Anajulikana kwa bao linalohesabiwa kuwa kali na bora kuzidi yote katika historia ya fainali za kombe la dunia baada ya kupewa pasi kutoka kwa…
View On WordPress









