Juhudi ni Nguzo
Nimefika kwenu hapa, nimeleta yangu hoja, Mawaidha nitawapa, nizikidhi zenu haja, Katu siwatoi kapa, Hoja yangu ina tija, Juhudi jamani nguzo, uvivu tuupingeni. © Kinyafu Mafcos #Mwanagenzi
Nimefika kwenu hapa, nimeleta yangu hoja, Mawaidha nitawapa, nizikidhi zenu haja, Katu siwatoi kapa, Hoja yangu ina tija, Juhudi jamani nguzo, uvivu tuupingeni.
Juhudi daima kinga, yakufikia malengo, ‘Kitenda bila kulinga, utatimiza mipango, Juhudi hii nalonga, inanusuru vifungo, Juhudi jamani nguzo, uvivu tuupingeni.
Juhudi katika kazi, yatakiwa hasa hasa, Achana nayo ajizi, ili usije jitosa, Usi…
View On WordPress










