DIRECTOR NI WITO! Kazi haikua rahisi maana wengine wanaweza kudhani kwa sababu ni short film basi itakua easy easy, director Dorice Kaizirege hakuwa ni mwenye kukurupuka kama umekosea utarudia hata Mara mia ili mradi kipatikane kitu kizuri! Timamu inajivunia sana kuwa na Wasanii wapya wenye kujiamini na vipaji vya hali ya juu pia tunajivunia kuwa na #Directors wanaojielewa na kitambua majukumu yao sio WAPENDA SIFA kwa kazi ambazo hawajazitolea jasho! Hongera sana Dorice pamoja na Wasanii wote mlioshiriki na kufuata muongozo wa Director wenu hatimaye #Mhuni imekuwa filamu BORA!Tungoje TUZO tuu au siyo???