Changamoto za ardhi zapelekea salaam za mabango kwa Lukuvi
Changamoto za ardhi zapelekea salaam za mabango kwa Lukuvi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amepokewa kwa mabango na wakazi wa kijiji cha Rwakalemela Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, huku wakimuomba kutatua migogoro ya ardhi unaowakabili.
Wananchi hao walitoa ombi hilo jana baada ya waziri huyo kufika wilayani hapa akitokea Karagwe, akiwa katika ziara ya utendaji mkoani Kagera.
Lukuvi baada ya kufanya kikao cha ndani na…
View On WordPress













