FANYA MAAMUZI JUU YA AINA YA MKATABA.
FANYA MAAMUZI JUU YA AINA YA MKATABA.
Je, ni aina gani ya mkataba wa ajira mwajiri anaokusudia kuingia na mwajiriwa?
Sheria ya Ajira inatambua aina kuu tatu za mikataba ya ajira kama zilivyoanishwa katika Kifungu cha 14 (1) (a) – (c) cha Sheria ya Ajira ambayo napenda kunukuu; “A contract with an employee shall be of the following types- 1) A contract for an unspecified period of time; 2) A contract for a specified period of time…
View On WordPress











