Mithali 26:4: "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye." - Mithali 26:5: "Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake." - Kuna namna mbili za kushughulika na mpumbavu: Ama kukaa kimya (Mithali 26:4) au kumjibu kwa kumuelimisha lakini si kwa kubishana naye (Mithali 26:5). - Ukibishana na mpumbavu utampa hekima asiyostahili. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #mithali264 #proverbs264 #mithali265 #proverbs265 #mpumbavu #foolish #hekima #wisdom https://www.instagram.com/p/BxrPwCiH0Wn/?igshid=13425akt9btkd











