Tunapotoa zoezi au jaribio au mtihani, je tunapima mafanikio ya mwanafunzi au tunapima utendaji wa wanafunzi? Eleza
Tunapotoa zoezi au jaribio au mtihani, je tunapima mafanikio ya mwanafunzi au tunapima utendaji wa wanafunzi? Eleza
Tunapotoa zoezi au jaribio au mtihani, je tunapima mafanikio ya mwanafunzi au tunapima utendaji wa wanafunzi? Eleza:
Katika ufundishaji na kujifunza kwetu tunapima vyote viwili, mafanikio ya wanafunzi na utendaji wa wanafunzi.
Hatuwezi kutenganisha upimaji wa mafanikio na upimaji wa utendaji.
Baada ya kufundisha somo au mada Fulani upimaji kiasi gani wanafunzi wameelewa hufanyika. Kwa maneno…
View On WordPress