Escribo porque me inunda la tristeza, me estoy ahogando en un mar de pensamientos que me hacen desear no vivir, está voz que me atormenta cada instante y este sentimiento de impotencia, enojo y muy decepcionante.

seen from United States
seen from China
seen from China
seen from China

seen from Mexico
seen from China
seen from Türkiye
seen from Russia
seen from Türkiye

seen from United States
seen from China

seen from Russia
seen from United States

seen from Argentina

seen from China
seen from China
seen from Türkiye

seen from Argentina
seen from United States

seen from China
Escribo porque me inunda la tristeza, me estoy ahogando en un mar de pensamientos que me hacen desear no vivir, está voz que me atormenta cada instante y este sentimiento de impotencia, enojo y muy decepcionante.
DOWNLOAD/ Mwijaku X Stan Bakora X Harmonize - Ndoa.mp3/ BenjaVibe
DOWNLOAD/ Mwijaku X Stan Bakora X Harmonize – Ndoa.mp3/ BenjaVibe Download Now BenjaVibe.com is a ultimate platform for discovering the latest Tanzanian music, Asili Zetu songs, music videos, and artist downloads. Explore tracks from Tanzanian and global artists, support your favorite musicians, and enjoy free downloads
Njia za Kumtuliza Mwanaume na Kudumisha Amani na Furaha Ndani ya Mahusiano
Njia za kumroga mwanaume atulie kwenye mahusiano. Ni ndoto ya kila mmoja kuona ndoa yake inakuwa na amani nafuraha huku uaminifu ukiwa ndio mzizi wake. Dhana nyingi huelezea kuwa mwanaumendio huwa msaliti mkubwa linapokuja suala la mahusiano. Lakini dhana kama hiyosi sahihi, kwani usaliti ni hulka ya mtu husika. Lakini pia kwa asilimia kubwa,usaliti huwa unachangiwa na watu wenyewe walio katika…
View On WordPress
Je ni kweli Upendo hutoweka baada ya kufunga ndoa?
“Hivi ni kweli mapenzi hutoweka baada kuingia katika ndoa?, Jambo gani ambalo hufanya wanandoa wengi kuhisi kuwa mapenzi yao yamekwisha mara baada ya kuingia katika ndoa?”
Tweet
Bwana mmoja huko Dallas, Marekani amewahi kufunga Ndoa mara tatu katika nyakati tofauti tofauti lakini zote hazikuwahi kudumu, hivyo akaamua kwenda kumwona Daktari Carry Chapman mtaalamu na mshauri wa masuala ya…
View On WordPress
[New Video] Bright Ft Khadija Kopa X Juma kakere & Karen – NDOA Bright Ft Khadija Kopa X Juma kakere & Karen - NDOA Download Video
SIFA ZA MME BORA
SIFA ZA MME BORA
1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18).
-Atambue thamani ya wokovu na kuutunza kwa dhati (Waebrania 2:3) -Aheshimu uhusiano wake binafsi na Mungu kwanza (Yohana 17:3) -Alitunze vazi lake la UTAKATIFU kwa kumaanisha (Zaburi 16:3, 1Petro 1:15-16), -Aiteteee na kuishindania imani yake aliyokabidhiwa…
View On WordPress
Kama Wataka Kuoa
Kama wataka kuoa, tumia akili nyingi, Kaa ukifikiria, hili jambo la msingi, Ukija jiamulia, uwe tayari na mengi, Kama wataka kuoa... ~Utunzi wa Athuman Mdigo #Mwanagenzi
Kama wataka kuoa, tumia akili nyingi, Kaa ukifikiria, hili jambo la msingi, Ukija jiamulia, uwe tayari na mengi, Kama wataka kuoa…
Kama wataka kuoa, kwa pupa usiendee, Huu wangu usia, makini utiliee, Ndoa chama sikia, usije jililiee, Kama wataka kuoa…
Kama wataka kuoa, angalia maadili, Mke mwenye kupoa, aliyetulia tuli, Atajenga familia, zuri iliyo kamili, Kama wataka kuoa…
Kama wataka kuoa,…
View On WordPress
Ukeketaji wavunja ndoa katika jamii Ukeketaji wavunja ndoa katika jamii. Check Out What's Up. Ukeketaji wavunja ndoa katika Kaunti ya Taita Taveta,huku kaunti hiyo ikiongoza kwa asilimia 61.3 ya visa vya watoto wadogo wa chini ya miaka tano(5)