Serikali yawataka waishio mabondeni kutii sheria.
Serikali yawataka waishio mabondeni kutii sheria.
Watanzania wameombwa kuhama katika maeneo ya mabondeni haraka iwezekanavyo ili kupisha zoezi la bomoa bomoa ambalo linaendelea hivi sasa jijini Dar es salaam.
Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi msaidizi wa usimamizi wa udhibiti na uhendeshaji miji wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi, George Pangawe leo jijini Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi linaloendelea la…
View On WordPress












