Wakati Mwingine Tunahisi kama Kiwanda Chetu Cha Burudani (Muziki Bongo Flavour) Hakitolewi Macho Na Kupewa Thamani Na Kipaumbele Kama Inavyostahili Kwa Mapana Na Ukubwa Wake!!! Sisi Kama #ROSTAM (Roma Na Stamina) Tunajaribu Kuonyesha Kuwa Hiki Ni #Kiwanda Na Kinazalisha Na Kutoa Ajira Kwa Vijana Wengi Sana!! Na Hii Ndiyo Sababu Iliyotupelekea Kuvaa Mavazi Haya Ya #Kiwandani Tukiwa Jukwaani Tunaimba #PARAPANDA Bongo Flavour Ni Kiwanda Kitoleeni Macho Tuiishi Kauli Mbiu Ya #tanzaniayaviwanda💪 . Cc @staminashorwebwenzi https://www.instagram.com/p/BnOW44LgvCQ/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1tmte9idngo8p












