USAJILII - PRISONS Uongozi wa Tanzania Prisons Sports Club kupitia mkurugenzi wa ufundi Kelvin Fredinand (katikati) wamekamilisha usajili wa wachezaji wawili wakwanza ni mshambiliaji , MOSES KITANDU- (kushoto) @kitandu_9 akitokea Club ya Costa dol sol inayoshiriki ligi kuu nchini Msumbiji 🇲🇿 ,pia aliwahi kiwa kinara wa mabao katika michuano ya Ndondo cup , na kuitumikia club ya Simba Sc hapo nyuma, Na wapili ni aliekua mlinda mlango wa Azam Fc Benedict Haule (kulia) wote kwa pamoja wamesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia club kwa msimu mpya 2021/22. #PrisonsConfidence #WajelaJelaOriginal #MSALATO-PHQ https://www.instagram.com/p/CS8gH71KAo3/?utm_medium=tumblr









