Man City wavunja rekodi, Barca hoi La Liga | Michezo | DW
Man City wavunja rekodi, Barca hoi La Liga | Michezo | DW
[ad_1]
City walifikisha kiwango hicho baada ya kuwalaza Southampton goli moja bila hapo jana bao lililotiwa katika sekunde za mwisho za mechi na mchezaji wa akiba Gabriel Jesus.
City waliishinda Ligi Kuu ya England wakiwa alama 19 mbele ya mahasimu wao Manchester United waliomaliza kwenye nafasi ya pili. Timu zitakazoshiriki Champions League nchini humo ni Manchester City, Manchester United,…
View On WordPress












